KWA UFUPI: Australia, Marekani na Uingereza zimeitupia lawana
nchi ya Uchina kuhusika na ujasusi mtandao katika mataifa yao na mataifa Rafiki
– Shutma ambazo zime eleza uchina kuhusika na wizi wa taarifa za siri za
kibiashara za serikali na makampuni ya Teknologia.
---------------------------
Niliwahi
kueleza mara kadhaa mwelekeo mpya na hatari wa Uhalifu mtandao ambapo
nilitahadharisha kuhusiana na vita mtandao (Cyber Warfare) pamoja na Ujasusi
Mtandao (Cyber Espionage) ambavyo kwa sasa mataifa makubwa yanawekeza zaidi
kwenye matumizi ya teknolojia kudhuru na kuingilia mataifa mengine kimtandao.
Kundi
la APT-10 la uchina limeshutumiwa na Uingereza na Marekani kuingilia makampuni
takriban 45 ya Teknolojia, Taarifa za wafanyakazi takriban laki moja za
wanajeshi wa majini wa marekani pamoja na computer mbali mbali za shirika la NASA.
#Infosec #Cybersecurity - - - Australia has joined The US and UK to accuse China of attempts to steal data through #cyberattacks— YUSUPH KILEO (@YUSUPHKILEO) December 21, 2018
Zhu Hua pamoja
na Zhang Shilong, ambao ni raia wa
Uchina wameshtakiwa na Marekani kuhusika na kufanya mashambulizi mtandao
kwaniaba ya wizara ya ulinzi ya uchina (Chinese Ministry of State Security) –
Naibu Mwanashria mkuu wa Marekani , Bwana Rod
Rosenstein alielezea shutma hizo.
Uchina
imekana kuhusika na shutma zinazotolewa dhidi yake na marekani pamoja na
uingereza huku ikiitaka marekani kuwaachia raia wake wawili – Shutma ambazo zimeelezwa athari zake zimekumba nchi nyingine
takriban 12 ikiwemo Nchi ya Brazil, Japan, Ufaransa, Canada na Nyinginezo.
Aidha,
Kumekua na shutma mfano wa hizi kutokea taifa moje dhidi ya Jingine ambapo
Mataifa kama Urusi, Korea ya Kaskazini, Marekani, Uingereza, na Uchina zimekua
zikitwajwa zaidi kua na tabia ya ujasusi mtandao – Huku ikionekana mataifa hayo
yakiongeza nguvu na kujiimarisha kua na uwezo mkumbwa wa kufanya mashambulizi
mtandao kwa mataifa mengine.
#Cybersecurity #Cybercrime On Monday night, Political agreement reached on the EU Cybersecurity Act establishing a permanent mandate & reinforced role for @enisa_eu #EUCybersecurityACT— YUSUPH KILEO (@YUSUPHKILEO) December 13, 2018
Sanjari
na hili, tumeona ukuaji mkubwa makampuni kutoa huduma za kiuhalifu mtandao kama
vile “Malware – as –a service”, “Ransomware – as – a service” na “Cyberattacks
on demand” jambo ambalo limepelekea uhalifu mtandao kuendelea kushika kasi
maeneo mengi duniani.
Hivi
karibuni, Shirika la Kipelelezi la marekani (FBI) limefungia makampuni kadhaa
yanayo jihusisha na huduma za kutoa msaada wa mashambulizi mtandao kwa wateja
wake.
FBI,
imeeleza makampuni yaliyo fungiwa yamekua yakijihusisha na huduma za
kushambulia mashirika ya kifedha, Mashule, wakala wa serikali, watoa huduma za
kimtandao nakadhalika.
critical-boot.com,
ragebooter.com, downthem.org, and quantumstress.net ni baadhi tu ya
waliokumbana na zilzala ya funga funga iliyofanywa na shirika la kipelezi la
marekani (FBI) baada ya oparesheni kubwa kufanyika dhidi ya makampuni yanayo
jihusisha na huduma za kihalifu mtandao.
#Infosec #Cybersecurity I spoke of this in 2016, . Why digital forensics should be included in university IT curriculum - https://t.co/I05yIHV2ch via @Shareaholic - Now as we windup 2018 - I have seen a great improvement but I trust more are to be done to meet the agreed target— YUSUPH KILEO (@YUSUPHKILEO) December 20, 2018
Aidha,
Katika kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka takwimu zimekua zikionyesha
uhalifu mtandao unakua kwa kasi, na tumekua tukishuhudia matukio mengi ya
kihalifu mtandao yanayopelekea upetevu mkubwa wa pesa na taafifa za watu
binafsi pamoja na makampuni mbali mbali.
Nikitokea
mfano kwa mataifa yetu ya Afrika mashariki, Nchini Kenya kwa mujibu wa takwimu
zilizo tolewa na “Communications Authority of Kenya (CA)”, imeelezwa kubainika matukio
ya kihalifu mtandao zaidi ya Milioni 3.8 kwa kipindi cha miezi mitatu pekee.
Taarifa za Kina Juu ya hili zimechapishwa na "STANDARD MEDIA" ya Kenya.
Nitumie
Fursa hii, Kushauri umakini zaidi wakati wa kutumia mitandao hususan huduma za
kibenki za kimtandao na kuimarisha zaidi ulinzi wa mifumo yetu ya kimtandao ili
kupunguza ukubwa wa tatizo.
Hi, This is a great article. Loved your efforts on it buddy. Thanks for sharing this with us. Get
ReplyDeleteethical hacking course.
ceh certification.
ethical hacking course fees.
ceh certification cost.
Aksaray
ReplyDeleteAydın
Kütahya
Rize
Bingöl
P5YF1
Eskişehir
ReplyDeleteDenizli
Malatya
Diyarbakır
Kocaeli
NOXH
Diyarbakır
ReplyDeleteKırklareli
Kastamonu
Siirt
Diyarbakır
EJ1ZY
Afyon
ReplyDeleteAntalya
Erzurum
Mersin
izmir
2R7İ
görüntülü show
ReplyDeleteücretlishow
CMJ8
görüntülü show
ReplyDeleteücretlishow
MRXD1
https://titandijital.com.tr/
ReplyDeleteçanakkale parça eşya taşıma
kırıkkale parça eşya taşıma
erzurum parça eşya taşıma
burdur parça eşya taşıma
UHDGP
ankara parça eşya taşıma
ReplyDeletetakipçi satın al
antalya rent a car
antalya rent a car
ankara parça eşya taşıma
JT2
79874
ReplyDeleteAksaray Evden Eve Nakliyat
Düzce Evden Eve Nakliyat
Tokat Evden Eve Nakliyat
Samsun Evden Eve Nakliyat
Btcturk Güvenilir mi
7AADE
ReplyDeleteMuğla Şehir İçi Nakliyat
Çankaya Boya Ustası
İstanbul Evden Eve Nakliyat
Çerkezköy Çelik Kapı
Aydın Evden Eve Nakliyat
Ünye Halı Yıkama
Kırıkkale Şehir İçi Nakliyat
Ünye Oto Lastik
Ünye Televizyon Tamircisi
633B3
ReplyDeleteÇorum Şehirler Arası Nakliyat
Balıkesir Parça Eşya Taşıma
Eskişehir Parça Eşya Taşıma
Aydın Şehir İçi Nakliyat
Kastamonu Parça Eşya Taşıma
Ordu Parça Eşya Taşıma
Tokat Şehirler Arası Nakliyat
Karaman Parça Eşya Taşıma
Niğde Lojistik
79C2F
ReplyDeleteAğrı Lojistik
Bolu Şehir İçi Nakliyat
Pursaklar Boya Ustası
Yalova Evden Eve Nakliyat
Malatya Parça Eşya Taşıma
Erzincan Şehir İçi Nakliyat
Tekirdağ Parke Ustası
Çerkezköy Parke Ustası
Siirt Şehirler Arası Nakliyat
F964A
ReplyDeletehttps://referanskodunedir.com.tr/
2DE47
ReplyDeletebedava görüntülü sohbet sitesi
görüntülü sohbet uygulamaları ücretsiz
diyarbakır görüntülü sohbet uygulama
çorum görüntülü sohbet sitesi
niğde sesli sohbet
bursa görüntülü sohbet canlı
balıkesir kadınlarla sohbet et
diyarbakır canlı sohbet uygulamaları
ağrı parasız görüntülü sohbet uygulamaları
BD593
ReplyDeleteVector Coin Hangi Borsada
Wabi Coin Hangi Borsada
Binance Referans Kodu
Binance Borsası Güvenilir mi
Baby Doge Coin Hangi Borsada
Coin Nasıl Oynanır
Area Coin Hangi Borsada
Bitcoin Yatırımı Nasıl Yapılır
Coin Nasıl Kazılır
B2A24
ReplyDeleteInstagram Beğeni Satın Al
Binance Nasıl Üye Olunur
Coin Üretme Siteleri
Gate io Borsası Güvenilir mi
Yeni Çıkacak Coin Nasıl Alınır
Arg Coin Hangi Borsada
Binance Hesap Açma
Twitter Retweet Satın Al
Coin Para Kazanma
4B81E
ReplyDeletedao maker
sushiswap
spookyswap
pancakeswap
satoshivm
dexview
shapeshift
phantom wallet
pancakeswap
B85988540F
ReplyDeletepuffer
emoji coin
mitosis
galxe stake
medi finance
bitget
galxe
tokenfi
moonbeam