WELCOME !

THANK YOU FOR VISITING THIS SITE. I HAVE BEEN USING BOTH SWAHILI AND ENGLISH LANGUAGE TO EXPRESS ISSUES - I HAVE ATTACHED ENGLISH VERSION TO SOME OF THE SWAHILI NEWS/STORY AT THE END.

Monday 21 September 2015

IFAHAMU NJIA MADHUBUTI YA KUKABILIANA NA UHALIFU MTANDAO

Naanza Andiko hili kwa kutambua na kuhamasisha Tukio la kipekee katika anga ya usalama mitandao ambalo limekua liki azimishwa kila mwaka katika mwezi wa October ambapo mataifa yanaadhimisha siku ya uelewa wa maswala ya usalama mitandao duniani kote. Kwa mwaka jana katika kuukaribisha mwezi huu Nilipata kuandika katika andiko linalosomeka kwa "KUBOFYA HAPA" na baadae kutoa tathmini ya mwezi katika andiko linalosomeka kwa "KUBOFYA HAPA".

Naimani Mwaka huu Tanzania ita uchukulia mwezi huu kinamna ya kipekee ili kuweza kukuza uelewa kwa watu wake Tukio ambalo nategemea makampuni mbali mbali na maeneo mengine yataandaa program mbali mbali za kukuza uelewa wa maswala ya usalama mitandao ili kuweza kufikiwa malengo yaliyokusudiwa na wanausalama wote mitandao duniani kote.

Aidha, inaaminika kama ilivyo katika uhalifu mwingine wowote ni vigumu kumaliza kabisa tatizo ila kuna njia kadhaa ambazo kwa umoja wake zikifanyiwa kazi vizuri zinaweza kabisa kupunguza kwa kiasi kikubwa sana tatizo la uhalifu mtandao. Tatizo kubwa kubwa ni kua njia hizi zimekua zikiishia katika maandishi baada ya kujadiliwa na wanausalama mitandao ambapo mimi binafsi nilikua miongoni mwao.

Leo nitaangazia njia ambayo imeshika nafasi ya juu na imeonekana na uwezo mkubwa wa kuhimili uhalifu mtandao ambapo imeaminika inauwezo wa kupunguza aina mbili za wahalifu mtandao pamoja na kusababisha aina ya tatu kupungua makali. Kwa ujumla wake imezungumzwa inaweza kupunguza hadi asilimia 71% ya uhalifu wote mtandao kama itafatwa vizuri na kupewa uzito wa kipekee katika mataifa yote.

Njia hii si nyingine bali ni “Awareness Program” Yaani elimu ya uelewa wa uhalufu mtandao na namna ya kujilinda. Elimu hii inatoa fursa kwa mwananchi wa kawaida kutambua aina mbali mbali za uhalifu mtandao, athari zake, njia ya kujilinda, Na Namna ya kulinda wenzake.

Kwa kupata elimu hii wale wote waliokua wakifanya uhalifu mtandao pasi na kujua wanakua na ufahamu wa kutosha na hatimae kundi hili linakua limeondokana na uhalifu mtandao. Aidha, kundi la pili ambalo ni lile linalofanya uhalifuu huu wa mtandao wakiwa hawana namna kwa kutokujua athari zake baada ya kujua athari za uhalifu mtandao kwao na kwa wengine na pia kujua njia mbadala wanazoweza kutumia kuepukana na uhalifu huu kupitia elimu ya uelewa ya usalama mitandao kundi hili linaweza pia likapunguzwa hadi asilimia 84% kwa mujibu wa wataalam wa usalama mitandao.


Thursday 3 September 2015

APPROPRIATE RESPONSE TO CYBERATTACKS SHOULD BE DEVELOPED.

Many countries have successfully implemented cyberlaws. Tanzania has cybercrime laws in places with the vision to protect its citizens who are becoming vulnerable of cyberattacks. Laws are to curb the growing cybercrime incidents. It is expected to start being implemented on September first this year (2015).

The law is expected to bring impact in our economic wellbeing – 54.4 Trillion stolen by cybercriminals each year can be saved when this law starts being used. Cyberbullying and other growing cybercrimes are also expected to be reduced effectively in a country once this law is started to be used.

The Cyber law itself is not enough, Capacity building, Awareness program and collaboration to meet target is essential to successfully mitigate these cyber risk in a nation. The three things should go together with the law in order to maximize efficiency to meet the target and to minimize those who commit cybercrimes unknowingly.

Addressing the attacks occurred is also mandatory, Citizens should be aware of the cyber incidence happening for them to take appropriate measure to secure themselves. Recently, Clickjacking hits Tanzania where social media specifically Facebook happened to be most heated. Unfriendly pictures keep on showing up to people’s profiles without their concerns.

There should be a way to address the matter to the citizens so that they will know how to deal with the incidents. In this case not clicking those pictures because by doing so, they will increase the impact of the attack and the spread will eventually be higher.