WELCOME !

THANK YOU FOR VISITING THIS SITE. I HAVE BEEN USING BOTH SWAHILI AND ENGLISH LANGUAGE TO EXPRESS ISSUES - I HAVE ATTACHED ENGLISH VERSION TO SOME OF THE SWAHILI NEWS/STORY AT THE END.

Wednesday 28 December 2016

WATU 9 WAKAMATWA KWA UDUKUZI WA TOVUTI ZA SERIKALI

Mswada wa sheria mtandao nchini Thailand uliwekwa mezani kujadiliwa takriban wiki kadhaa zilizo pita. Muswada huo ambao ulikua ukingoja kupitishwa kua sheria umepelekea kelele nyingi Nchini humo ambapo wananchi wake walitaka ufanyiwe marekebisho kabla ya kua sheria huku wengine wakiukataa kabisa.

Wana usalama mtandao nchini humo walijaribu kutoa ufafanuzi ambao haukuzaa matunda na hatimae kutaka msaada kutoka kwa wanausalama mtandao wa maeneo mengine.

Wiki mbili zilizo pita wahalifu mtandao Nchini humo walitangaza kushambulia tovuti za serikali  ili kushinikiza mamlaka kufanyia kazi marekebisho ya sheria hizo za mtandao ambazo walidai hawakukubaliana nazo – Baadae walianza kushambulia tovuti mbali mbali na kusababisha mtafaruku mkubwa.





Tovuti ya polisi ya nchini humo (Royal Thai Police Office) ni miongoni mwa tovuti zilizo shambuliwa kimtandao ambapo ilidukuliwa na baadae kuangushwa kabisa. Kitu ambacho kilipelekea hasira kwa vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi hiyo.


Monday 19 December 2016

TYRIE: GCHQ NEEDS TO DO MORE TO PROTECT UK FROM CYBERATTACKS

Endrew Tyries MP
The head of the Treasure select committee.
More action may be needed to protect the financial services industry from a devastating cyber-attack, the head of the Treasure select committee has suggested.

Andrew Tyrie MP wrote to Ciaran Martin, head of the new cybersecurity centre of UK surveillance agency GCHQ, saying the lines of responsibility and accountability for reducing cyber-threats are opaque.

Tyrie’s letter to Martin, who is leading the Cheltenham-based National Cyber Security Centre (NCSC), uses last month’s incident at Tesco Bank to illustrate the vulnerabilities of the financial system.

In November, the banking arm of supermarket chain Tesco admitted that £2.5m had been stolen from 9,000 accounts in an incident which raised fresh concerns about the methods used by financial services firms to detect cyber-attacks.

Two-thirds of all major UK companies – not just financial services firms – have reported security breaches in the last year. The Bank of England has also listed the threat of cyber-attacks as one of the major risks facing the financial services industry.

Ciaran Martin
The head of GCHQ’s new cybersecurity arm
In his letter Tyrie, a Conservative MP, outlines the responsibility for cyber-threats as being shared between the Bank’s Prudential Regulation Authority (PRA), the Financial Conduct Authority and GCHQ. In turn, the regulatory arms are responsible to the Treasury, while GCHQ reports through the foreign secretary.

Tuesday 13 December 2016

KAGOYA YASHAMBULIWA KIMTANDAO – TANZANIA NAYO YAASWA KUFUNGA MIKANDA

Kampuni Maarufu ya KAGOYA ya Nchini Japan Imeshambuliwa kimtandao ambapo taarifa binafsi na za kibenki za wateja wake zimedukuliwa.

Uhalifu huu umegundulika mwezi huu (Desemba, 2016) na tayari kampuni husika imesha toa taarifa kwenye vyombo vya usalama vya Nchini humo - Ambavyo pia vimeanza uchunguzi rasmi jana.

Kampuni hiyo imesema, Wateja wake waliotumia "Credit card " zao baina ya Aprili Mosi , 2015 hadi september 21, 2016 wameathiriwa na uhalifu huu na imewaasa wateja wake wafatilie taarifa za utoaji pesa wa kadi zao.

Taarifa binafsi takriban Elfu 50 pamoja na taarifa za kibenki takriban Elfu 21 zimeathirika katika shambulio hili la kimtandao.



Mjumuiko wa taarifa zilizo ibiwa ni, majina , barua pepe, Namba za simu, Namba za kadi za benki, maneno ya siri (Nywila) pamoja na taarifa nyingine za wateja wake.

Hii si mara ya kwanza kwa Nchi ya JAPANI kupata shambulio kubwa la kimtandao kwa mwaka huu (2016) pekee - Itakumbukwa, Mwezi May mwaka huu (2016) zaidi ya Yuan Bil. 1.5 sawa na Dola Milioni 13 ziliibiwa katika ATM zaidi ya 1400 ndani ya masaa mawili na nusu.

Friday 9 December 2016

KENYA: SOPHSTICATED CYBERATTACKS ARE RAPIDLY GROWING

It’s not only the frequency of the cyber attacks happening in Kenya at the moment, but also the size and sophistication of these assaults that government and business need to face up to.

The recent hacking of Kenya’s Government in November 2016 has highlighted the increasing attacks in the country and placed a spotlight on the vulnerabilities and losses both government and online businesses are facing -  about USD 146 M every year according to a recent cyber security report on Kenya.

This is in particular attributed to the fact that the country has shown a major increase in web-connected devices.

“Kenya and its surrounding countries has continuously attracted nefarious activities by cyber criminals, and the proliferation in distributed denial-of-service (DDoS) attacks in the region is today as much a reality as it is globally,” says Bryan Hamman, territory manager for sub-Saharan Africa at Arbor Networks, the world’s leading provider of DDoS protection in the enterprise, carrier and mobile market segments, according to Infonetics Research.

According to Paul Roy Owino, president of Information Technology, Security and Assurance (ISACA), Kenya currently records up to 3,000 cyber-related crimes per month, these include banking fraud, money transfer (M-pesa), to interference with personal data by hackers.

Reports following the latest major government attack state that local cyber security experts in Kenya are warning of the need to regulate Internet use and management as a national security issue.

Mark Campbell, consulting engineer for sub-Saharan Africa, points out that it is especially Kenya’s growing financial, telecommunication and manufacturing sectors that are becoming popular targets for cybercrime.

Sunday 4 December 2016

MWANA USALAMA MTANDAO BORA WA MWAKA

Nikitoa Neno la Shukran
Pembeni Ni - Abner Abaga
(ICT Director - Wizara ya ICT,Kenya)
Mwishoni mwa mwezi wa kumina moja (Novemba) mwaka huu (2016) Jijini Nairobi Nchini Kenya, Nilibahatika kuibuka mshindi wa tunzo ya mwanausalama mtandao bora wa mwaka (Cybersecurity Expert of the Year) – Ikiwa ni kutambua mchango wangu mkubwa katika mataifa mbali mbali barani Afrika kuhusiana na swala zima la usalama mtandao.

Mchango wangu haujakomea Barani Afika, Nimekua pia nikitoa Mchango katika mataifa mengine mengi nje ya Bara la Afrika. Kutokana na Tunzo niliyopokea, Imeniongezea nguvu na hari mpya ya kutumikia fani yangu vizuri kwa manufaa ili kuhakiki situ tunapata Bara salama bali dunia salama kimtandao.

Kwa mujibu wa BBC kama inavyo someka “HAPA” – Imeelezea mchango wangu kua chachu ya kufanya mataifa mengi barani na nje ya bara kua salama. Aidha, kufuatia mahojiano yango na BBC nilipo ulizwa juu ya safari yangu Nchi Afrika kusini kuzungumzia zaidi Uchunguzi wa makosa mtandao mabapo tovuti kadhaa zimekua ziki ripoti Moja wapo ikiwa ni ya ITWeb kama inavyo someka “HAPA” nilieleza ya kua ifikemahali kila mmoja ajiulize atadhuriwa kimtandao lini na si kujiuliza kama anaweza kudhuriwa kimtandao.

Kurudi na Kikombe cha Tunzo nyumbani na mapokezi yake kwenye vyombo mbali mbali vya Habari vimeniongezea faraja zaidi – Niliendelea kusisitiza juu ya kuhakiki swala la usalama mtandao halibaki kua la kundi flani la watu, Pia kila mmoja ana dhamana ya kuhakiki anajilinda binafi dhidi ya wahalifu mtandao.