WELCOME !

THANK YOU FOR VISITING THIS SITE. I HAVE BEEN USING BOTH SWAHILI AND ENGLISH LANGUAGE TO EXPRESS ISSUES - I HAVE ATTACHED ENGLISH VERSION TO SOME OF THE SWAHILI NEWS/STORY AT THE END.

Monday, 29 February 2016

UHALIFU MTANDAO NA ELIMU YA UELEWA (AWARENESS)

Uhalifu mtandao umeendelea kua changamoto maeneo mengi Duniani.Taasisi za kifedha, Usafirishaji, Nishati,na maeneo mengine mengi yameendelea kukabiliwa na matukio ya kihalifu mtandao huku athari zake kuendea kukua kila kukicha.

-------------------
NEWS UPDATES: Following a pair of breaches, LINODE is now changing user procedures to improve security. The web hosting company was the target of two breaches over the past year. Both incidents, one in July 2015, the other in December 2015, involved stolen customer account access credentials. In response to the December  breach, Linode force-reset all customer passwords. The company is changing authentication procedures to separate customer application from credentials. Linode is also employing credit card tokenization, and altering its internal policies with guidance from a NIST framework.
-------------------

Mataifa mengi yameendelea kuwekeza kwenye Vitendea kazi (Vizuizi - Tools), Kuimarisha ushirikiano ndani na kuvuka mipaka ya Nchi (Collaboration) kuongezea elemu wataalam wa kukabiliana na uhalifu mtandao (Capacity building) huku sheria za uhalifu mitandao zikionekana kuboreshwa zaidi kwenye mataifa mengi. Yote haya yakiwa ni hatua za kukabiliana na uhalifu mtandao.

Ifahamike, Elimu ya uelewa ndio SILAHA kuu – Mataifa mengi bado Imekua ni Nadra kuona mikakati Madhubuti ya elimu ya uelewa (Awareness) stahiki na endelevu itakayo mpa fursa Mwananchi wa kawaida kuweza kujikinga binafsi na kufahamu namna ataweza kutatua tatizo pale atakapo kabiliwa na uhalifu mtandao.

Thursday, 18 February 2016

DONILON APOINTED TO LEAD U.S. CYBERSECURITY COMMISSION

U.S. President Barack Obama appointed Former National Security Advisor Tom Donilon to lead (Chair) U.S Cybersecurity Commission, the Commission on Enhancing National Cybersecurity. President Obama said Wednesday (Feb, 17, 2016) that boosting cybersecurity in the U.S. will require long-term vigilance and overhauling systems currently in place.

Mr. Obama spoke in the Oval Office after meeting with Tom Donilon, who lead a new commission on cybersecurity. He is Mr. Obama's former national security adviser and will be joined on the panel by former IBM chief executive Sam Palmisano as vice chairman.

The president said the internet has brought about incredible opportunity and wealth. But he said it also means more information about people's private lives can be downloaded.

Mr. Obama said the panel will deliver a report by December 1 about how to strengthen critical systems and attract top minds to work on cybersecurity.

He is creating the commission following a massive breach of government data last year. My discussion with BBC following U.S last year Massive breach is “HERE”. The commission is expected to also enhance Internal and external collaboration to fight cybercrimes.

TAARIFA BINAFSI ZA WANACHUO ZA ANIKWA MTANDAONI

Matukio yaki halifu mtandao kwa mwaka huu wa 2016 yameonekeana kushika kasi zaidi ya ilivyotegemewa. Tayari kumekua na matukio kadhaa ya kihalifu mtandao ambapo baadhi yao watoto wa umri kati ya miaka Tisa (9) na Kumi na saba (17) wanahusika.

Hali hii pamoja na tishio la makundi ya kihalifu mtandao kutishia kuyumbisha UCHUMI wa mataifa mengi duniani imepelekea wana usalama mtandao kuzidi komba mataifa mbali mbali kujipanga zaidi kukabiliana na uhalifu mtandao.

Mapema Mwezi huu, taarifa binafsi za wanavyuo wa chuo cha Greenwich zimeonekana kusambazwa  mitandaoni. Kufuatia mamia ya taarifa za wanachuo hao kupatikana mtandaoni, Chuo hicho kimeomba radhi na tayari chuo hicho kinaendelea kuwasiliana na wanachuo wote walio athirika na tukio hili. Wakati huo huo tukio hilo limeripotiwa na upelelezi bado unaendelea.

Uchunguzi wa awali umeonyesha huwenda wadukuzi walifanikiwa kuingilia mifumo ya chuo hicho na kusababisha taarifa hizo binafsi kusambaa mitandaoni. Tukio hili linafatia tukio la kijana wa miaka 16 kudukua mifumo ya vyombo vya usalama Nchini marekani pamoja na barua pepe ya mkurugenzi wa CIA ambapo taarifa zilizopatikana huko pia zili anikwa mitandaoni.

Wanasheria wameonya tukio hilo linaweza kuligharimu chuo hicho pesa nyingi endapo wana vyuo hao watashitaki kutokana na taarifa zao binafsi walizo zipatia chuo hicho hazikupatiwa ulinzi wa kutosha na hatimae kuishia mikononi mwa wahalifu mtandao.

Miongoni mwa taarifa za wanachuo zilizopatikana mitandaoni ni pamoja na majina yao, Namba zao za simu, Miaka yao ya kuzaliwa, Mahli wanapo ishi, Sahihi zao, taarifa zao za hospitali (medical history) pamoja na mambo mengine.

Tuesday, 9 February 2016

RANSOMWARE ON THE RISE: BE PROACTIVE AGAINST THE ATTACK

End of Last Year (2015) we witness Ransomware on the rise. The attack is when Cybercriminals encrypt data on a victim’s computer and then demands a fee for unlocking it.

Most security experts agree that it is almost impossible to recover data that might have been encrypted in a ransomware attack without access to the decryption keys, or to a backup copy of the affected data. Therefore, the focus has to be on prevention.

Early this Month (February, 2016) A significant number of websites that run on the WordPress content management system appear to have been compromised so that they infect site visitors' computers with ransomware and other malware.

The attacks affect machines that are running versions of Adobe Flash, Adobe Reader, Microsoft Silverlight, and Internet Explorer that are not up to date on patches.

Initially, Ransomware started off mainly as a consumer problem but increasingly is hitting businesses and government entities as well. Indeed, recovering data encrypted by a ransomware attack is next to impossible, so prevention offers the better approach.

Friday, 5 February 2016

SINGAPORE YAFIKIA PAZURI KATIKA USALAMA MTANDAO

Ikiwa bado Singapore inaendelea na mkakati wake wa kua “Smart Nation” imeanisha kuweza kufikia hapo lazima swala la usalama mitandao liwe muhimu zaidi “Top priority”. Hii ni kutokana na uhalisia kua Nchi inapokua ya kisasa zaidi na kutumia kwa wingi mifumo yaki Teknohama katika maeneo mbali mbali uhalifu mtandao nao unaongezeka.

Mwaka jana (2015) katika kuliendea hili la kuhakiki Usalama mtandao unashika nafasi ya juu kwa taifa hilo linalokua kwa kasi barani Asia, Wali anzisha wakala wa usalama mtandao “Cybersecurity Agency” ambapo uliiunganisha vitengo vyote vidogo vya usalama mitandao na kukuza ushirikiano na sekta binafsi nchini humo.

Hatua hiyo ilipongezwa na wana usalama mitandao Duniani kote na binafsi kuliandikia katika andiko linalosomeka “KWA KUBOFYA HAPA”. Tayari nchi hiyo pia ina mpango wa kimkakati wa miaka mitano wa kitaifa wa usalama mtandao “National Cybersecurity Master plan” ambapo inategemewa kuwekeza zaidi katika kulinda miundo mbinu yake ya TEHAMA pamoja na taarifa zake pamoja na Wananchi wake.

Nchi hiyo ya Singapore haikukomea hapo tayari imesha boresha mashirikiano yake na Nchi nyingine za barani Asia ambapo makubaliano maalum kwa nchi hiyo (Singapore), Japan, India na Malaysia ya kuimarisha  zaidi ushirikiano ya kimkakati yameshawekwa mapema mwaka huu (2016) ili kuhimili vishindo vya uhalifu mtandao.