WELCOME !

THANK YOU FOR VISITING THIS SITE. I HAVE BEEN USING BOTH SWAHILI AND ENGLISH LANGUAGE TO EXPRESS ISSUES - I HAVE ATTACHED ENGLISH VERSION TO SOME OF THE SWAHILI NEWS/STORY AT THE END.

Wednesday, 24 September 2014

SINGAPORE GOVERNMENT TO WORK WITH EDUCATIONAL & PRIVATE SECTOR TO FIGHT CYBERCRIMES

Mr. Masagos Zulkifl
The fight against Cybercrime has never been a work of individual alone or specific group of people. Joining hands is strongly recommended to win the fight – Cybercrimes have no borders and the impact that we see today is very high compared to the past few years. "MIDDLE EAST COUNTRIES"  have recently showed a great example not forgetting European Union with its Cybersecurity framework.

 In Singapore, the Government hopes to work more closely with the private and education sectors to set up effective early warning systems and prevent cyber-attacks, according to Senior Minister of State for Home Affairs and Foreign Affairs Masagos Zulkifli."We have to build robust information and intelligence sharing channels which we can tap on to put in place effective early warning systems." – Said Masagos.

The theme of this year’s GovWare conference is "Strengthening the Cyber Security Ecosystem". More than 70 local and global speakers from the academia, industry and government are set to attend the event, which also features selected projects by tertiary students.

EXHIBITORS DEMONSTRATE NEW PRODUCTS

More than 80 exhibitors were also invited to this year's GovWare Conference, which is touted as an opportunity for the public sector to interact with companies to find out more about their latest products.


Tuesday, 23 September 2014

NCHI ZA ME ZAWEKEZA ZAIDI KWENYE MAPAMBANO DHIDI YA UHALIFU MTANDAO

Ukipitia takwimu za mwaka huu na mwaka jana inaonyesha Nchi za Ulaya na Marekani zimeendelea kuathirika zaidi na uhalifu mtandao, Huku Nchi za mashariki ya kati kuonekana kunyemelewa na wahalifu mtandao. Wakati huo huo takwimu zilitabiria Nchi za Afrika  kuwa katika hali mbaya baadae kutokana na ukuaji wa kasi wa matumizi ya mitandao ambao hauendani sanjari na maandalizi madhubuti ya usalama wa mitandao.

Mengi yalizungumzwa kuhusiana na tishio jipya katika nchi za kiarabu huku kampuni inayojihusisha na ulinzi mtandao ya Kaspersky wakiandika "NCHI YA SAUDI ARABIA" imedhamiriwa zaidi na wahalifu mtandao kauli ambayo iliambatana na "UTAFITI" ukibainisha kampuni za mashariki ya kati zimeendelea kulengwa na wahalifu mtandao.

Hatua hiyo ilisababisha nchi hizo za mashariki ya kati kuwekeza zaidi na kuimarisha jitihada zake za mapambano dhidi ya uhalifu mtandao. "JEDDAH" iliyoko Saudi Arabia ilianzisha kituo kipya kilicho imarishwa maalum kwa ajili ya mapambano dhidi ya uhalifu mtandao na Hivi karibuni "JORDAN" nao wakazindua kituo chao maalum kwa ajili ya kupambana na uhalifu mtandao.

Vile vile nchi nyingine za Mashariki ya kati (ME) zimeendelea kuwekeza na kufungua vituo maalum kwa ajili ya mapambano dhidi ya uhalifu mtandao katika ukanda huo ambapo imeenda sambamba na uboeshwaji wa sharia mitandao.

NINI TUNAJIFUNZA KAMA TAIFA?

Tayari imezoeleka nchi za ulaya na Marekani zimekua vinara kwenye kuwekeza katika mapambano dhidi ya uhalifu mtandao kutokana na athari kubwa ambayo tayari imesha ziona.Na hivi sasa inaonekana Nchi za Mashariki ya kati nazo zikiwekeza katika upande huo.


Thursday, 18 September 2014

JORDAN TO OPEN CYBERCRIME CENTER IN AMMAN

Work began this month to establish a cybercrime center in Amman dedicated to fighting cybercrime and cyber security threats that target Jordan's financial sectors and its national security. The new center is being established under the supervision of the Jordanian Ministry of Information and Communications Technology.

"The center will play a big role in confronting cybercrime that could target the financial sector such as banks in light of an increasing number of Internet users in the kingdom," said Minister of Information and Communications Technology Azam Sleit.

Speaking at a workshop to assess preparedness for establishing Computer Incident Response Team (CIRT) centers, Sleit said the new center would reinforce the existing cybercrime law and help to introduce new laws.

The workshop was organised by the Arab regional office of the International Telecommunications Union in collaboration with the ministry and the Telecommunications Regulatory Commission.

"We hope to raise awareness on information security through building reliable communication centers for reporting cybercrimes and assisting response teams in cybercrime incidents across different sectors," Sleit said.

The center is important due to "the authorities' need to prevent this type of crime", said Lt. Col. Sahm al-Jamal, director of the cybercrime unit of the Public Security Directorate's criminal investigations department.

OKTOBA NI MWEZI WA KUKUZA UELEWA WA MATUMIZI SALAMA YA MITANDAO


Miaka 11 iliyopita Marekani ikitambua ukuaji wa matumizi mabaya ya mitandao walianzisha kampeni maalum iliyoamuliwa kufanyika kila mwezi oktoba. Kampeni hiyo maalum ilihamasisha mashule , kampuni binafsi na  serikali kutumia mwezi oktoba kuhamashisha uelewa wa matumizi salama ya mitandao.

Kadri muda ulivyojongea Mataifa mengine yaliamua kutumia mwezi huo kuwa mwezi wa kukuza uelewa wa matumizi salama ya mitandao ambapo sasa mataifa mengi tayari yamesha kua yakiazimisha kampeni hizi. Mwaka huu wa 2014 Kama Inavyo ainishwa "HAPA" imeweza kuchanganua  kwa ufupi  maudhui na kauli mbiu ya mwaka huu, ratiba, namna ya kushiriki na mambo mengine muhimu.


Ifahamike vizuri jitihada za kukuza uelewa wa matumizi salama ya mitandao duniani kote ni endelevu na mwezi oktoba umechukuliwa kuwa maalum ili kuonyesha umuhimu wa kampeni hizi kwa kuzingatia ukuaji wa matumizi ya mitandao unaoambatana kabisa na matumizi mapaya kwa baadhi ya watu.

"JUMBE"  teule kwa upande wangu ni kuongeza matumizi mazuri na sahihi ya maneno ya siri ili kujiweka salama utumiapo mitandao.

Kwa Upande mwingine Tanzania imeendelea kuwa mwenyeji wa midahalo na  warsha mbali mbali zihusianazo na maswala ya usalama mitandao ambapo ni fursa nzuri kwa watanzania kuweza kushiriki ili kukuza uelewa wa maswala haya ya ulinzi mitandao ambapo dunia ya leo yemeonekana kua na sura ya pekee.

Thursday, 11 September 2014

CYBERTHREATS ARE ERODING OUR LIVES

The number of Cyberthreats has been increased rapidly for the past one year. We have witness a very big number of attacks across nations. The most recent attack that capture our attention was "THE HOME DEPOT", which had a months-long data breach through malware similar to the one used against Target.

 According to "FORBES", Thieves stole sensitive data from as many as 110 million people. The United States has 333 million people. Obviously, that means one out of every three people had financial information compromised (the chain has stores in Canada, so the proportion is actually approximate).

The already struggling Target might not recover from this episode. So, with one hack, a third of this nation’s financial health and a significant company were endangered. If the company fails, about 361,000 people would lose their jobs.

That’s a massive cost for that one breach. The Home Depot case is supposed to be even "BIGGER" because that cyber door has been ajar for months longer. That is another struggling chain; this one employing 340,000 people.

Thursday, 4 September 2014

MAREKANI YAJIUNGA NA MUUNGANIKO WA KIMATAIFA WA MAPAMBANO NDHIDI YA UHALIFU MTANDAO

Maswala ya udukuzi yameendelea kushika kasi katika maeneo mbali mbali ulimwenguni ambapo mataifa mbali mbali yameamua kuunganisha nguvu ya pamoja kupambana na uhalifu mtandao. Katika "UCHAMBUZI" nilio uandikia nilibainisha umuhimu wa kupata chombo kimoja chenye jukumu la kupambana na uhalifu mtandao ambacho kitatoa nguvu kubwa ili kuweza kukabiliana na hali mbaya ya uhalifu mtandao hivi sasa.

Kundi jipya lenye makao yake barani ulaya linalounganisha pamoja nchi wanachama wa bara ulaya pamoja na Canada, Colombia, Australia na marekani limedhamiria kuunganisha mataifa mengine na kuhakiki maswala mbali mbali yahusuyo usalama mtandao yanafanyiwa kazi ipasavyo.

Kwa wafatiliaji wa habari za maswala ya usalama mitandao watakua wamepata  kuona taarifa mbali mbali za hivi karibuni zenye kuonyesha ukuaji wa kasi wa uhalifu mtandao ambapo umetabiriwa kushika kasi zaidi kadri muda unavyo zidi kwenda ambapo uhalifu mwingi wa sasa unategemewa kuhamia katika mitandao.

Katika andiko la naibu mkurugenzi wa chombo cha uingereza kinacho shughulikia maswala ya uhalifu mtandao pamoja na kiongozi  wa kundi jipya la muunganiko wa nchi la kukabiliana na uhalifu mtandao kama inavyo someka "HAPA" wame elezea ukuaji wa changamoto mbali mbali kwa vyombo vya usalama katika mataifa mengi na kusisitiza kuna umuhimu mkubwa wa kuunganisha nguvu za pamoja ili kuweza kufanikiwa katika vita dhidi ya uhalifu mtandao.

J-CAT imedhamiria kuzileta pamoja nchi wanachama pamoja na mataifa mengine yatakayo onyesha utayari ili kuweza kukabiliana kwa pamoja dhidi ya uhalifu mtandao ambapo matumaini makubwa yatakua ni kukusanya taarifa za kiuhalifu kutoka katika makampuni ya serikali na binafsi ili kubaini aina za uhalifu na kujua maeneo athirika zaidi ili kuweza kuunganisha nguvu. Nchi zaidi zitaenelea kushirikishwa baada ya majaribio ya mpango huu wa kuunganisha nguvu kuweza kufikia pazuri.

Aidha, Chombo cha upelelezi cha Marekani (FBI) kupitia taarifa inayosomeka "HAPA" imebainisha kulipa kipaumbele cha juu swala la mapambano dhidi ya uhalifu mtandao kutokana na kilicho zungumzwa na mkurugenzi wake ya kuwa nchi hiyo tayari imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupambana na wahalifu wanao onekana na kwa sasa wahalifu mtandao kua ndio changamoto yake kubwa na hivyo wameazimia kuanza mapambano na uhalifu huo.