KWA UFUPI: Wakuu wa vitengo vya TEHAMA wamekutana kujadili changamoto na namna
nzuri ya kuzitatua changamoto hizo katika vikao vilivyo kamilika Nchini Kenya.
-------------------------------
Watunga sera na sheria mbali mbali wamekua wakifanya maamuzi ya TEHAMA bila kushirikisha wadau wa TEHAMA – Hii imekua moja ya changamoto inayo leta mkinzano wa utendaji wenye manufaa kwa wana TEHAMA maeneo mengi barani Afrika.
Mjadala
ulioangazia umuhimu wa udhibiti na uangalizi wa watendaji katika sekta ya
TEHAMA umeonekana kua mzuri ila umegubikwa na changamoto kadhaa kutokana na
ushirikishwaji mdogo wa wadau ili kuweza kuleta mabadiliko kwenye sekta husika.
Mjadala
huu umejadiliwa kufuatia kuwepo kwa sera mpya nchini Kenya itakayo rasimisha Wana
TEHAMA na kuwataka watambulike kabla ya kuweza kuhudumu maeneo mbali mbali.
Hili litafanana na tulicho nacho nchini Tanzania kwa wanasheria pamoja na
wataalam wa maeneo mengine kadhaa.
Kinachotegemewa
katika urasimishaji wa sekta ya TEHAMA na kumfanya mwana TEHAMA atambulike na
kuhudumia katika sekta ya TEHAMA ni pamoja na
kupitia hatua kuu tatu ambazo ni, Kusomea – Usaili – Kupatiwa leseni ya
kutoa huduma katika sekta husika.
Changamoto
iliyo onekana ni pamoja na uwezekano wa kuua vipaji vya wabunifu wa TEHAMA
ambao wamekua wakija na ubunifu wenye manufaa pasi na kua na ujuzi rasmi katika
sekta husika.
Tumeshudia
kuwepo kwa vijana walio somea fani nyingine tofauti na TEHAMA ila baadae kuja
na Mifumo mizuri ya Kitehama iliyoweza kutatua changamoto mbali mbali katika
maeneo yetu tofauti na wengine waliosomea fani husika na kushindwa kuwa
wabunifu wa kuleta mabadiliko katika jamii zetu.
Kuna
baadhi ya Mifumo tuko nayo maeneo mengi ambayo wabunifu wake hawakua na elimu
ramsi katika sekta ya TEHAMA. Aidha, Swali kuu matumizi ya TEHAMA ya mekua kuna
ulazima mhusika kua na elimu rasmi? Ilhali kila sekta inategemea TEHAMA na kuna
uwezekano kila mwenye ujuzi wa fani yoyote akawa na uwezo wa kufanya vizuri
kwenye mifumo ya TEHAMA.
GDPR
(General Data Protection Regulations) Nchi za umoja wa ulaya wana mategemeo ya
kuanza rasmi matumizi ya GDPR mwishoni mwa mwezi wa tano mwaka huu wa 2018 –
Lengo kuu ni kulinda faragha za raia wake.
Hatua
hii inaweza kuathiri maeneo mengi duniani Afrika ikiwemo kwani tumeendelea
kufanya biashara na kuhudumia mataifa ya umoja wa ulaya ambapo inahusisha
taarifa za wana jumuia ya ulaya kupatikana kwetu.
Mjadala
mzito wa nini tutegemee pale umoja wa Ulaya watakapo anza rasmi matumizi ya
GDPR katika taasisi zetu hususan za kifedha. Namna bora ya kuweza kulinda
(faragha) za watumiaji mifumo ya kitehama katika taasisi zetu ili kuondokana na
tunachoweza kukabiliana nacho baada ya kuanza rasmi matumizi ya GDPR barani
ulaya.
#Infosec #CyFy - I'll be joining other experts and practitioners from around the globe to discuss the future the technology holds for #Africa Continent during 2018 #CyFyAfrica in Tangier, #Morocco -https://t.co/7kei0wMzRT#CyberSecurity @AfICTA #cybercrime @orfonline pic.twitter.com/8jICm2LBBI— YUSUPH KILEO (@YUSUPHKILEO) April 19, 2018
CSIRT
(Computer Security Incidence Response Team) – Tumekua na changamoto ya uwepo wa
vitengo mahususi vya kukabiliana na matukio ya kihalifu mtandao katika taasisi
na kampuni mbali mbali. Hili linatokana na uelewa mdogo juu ya umuhimu wa
vitengo hivi mahsusi vyenye jukumu la kukabiliana na uhalifu mtandao.
Umuhimu
wa CSIRT, namna ya kuanzisha na majukumu yake katika kila kampuni na taasisi ni
mjadala nilio uongoza kuhakiki kila mmoja anafahamu hili.
Matukio
ya kihalifu mtandao katika mataifa yetu yanayopelekea upotevu wa Fedha, upotevu
wa taarifa, udukuzi wa mifumo na kadhalika yamekua yakijitokeza mara kwa mara
yanayo acha athari kubwa kwa taasisi za serikali na binafsi maeneo mengi
duniani.
Ni
wajibu wa kila taasisi na kampuni kujua ina jukumu la kujilinda dhidi ya
uhalifu mtandao na namna pekee ya kufikia hapo ni pamoja na kua na kitengo
wahususi chenye jukumu la ulinzi mtandao pekee ambapo kitengo husika kitaweza
kuhakiki usalama mtandao unakuwepo.
Aidha,
kumekua na mijadala mingine mingi sana ambayo yote ilikua na lengo la kuhakiki
tuna tambua namna sahihi ya kukabiliana na changamoto nyingi zinazotokana na
uwepo matumizi makubwa ya mifumo ya TEHAMA yanayo rahisisha utendaji kazi
katika taasisi na kampuni mbali mbali.
https://bayanlarsitesi.com/
ReplyDeleteGöktürk
Yenidoğan
Şemsipaşa
Çağlayan
4PV
uşak
ReplyDeletevan
hakkari
elazığ
bingöl
OU7
görüntülü show
ReplyDeleteücretlishow
2V1K
https://titandijital.com.tr/
ReplyDeleteçanakkale parça eşya taşıma
kırıkkale parça eşya taşıma
erzurum parça eşya taşıma
burdur parça eşya taşıma
OY8HJZ
ankara parça eşya taşıma
ReplyDeletetakipçi satın al
antalya rent a car
antalya rent a car
ankara parça eşya taşıma
8O44
20611
ReplyDeleteYalova Lojistik
Sakarya Parça Eşya Taşıma
Çorum Lojistik
Şırnak Parça Eşya Taşıma
Nevşehir Evden Eve Nakliyat
2D7F4
ReplyDeleteSinop Lojistik
Kırşehir Parça Eşya Taşıma
Gümüşhane Parça Eşya Taşıma
Kars Lojistik
İzmir Evden Eve Nakliyat
FBD0E
ReplyDeleteOrdu Evden Eve Nakliyat
Burdur Parça Eşya Taşıma
Muğla Parça Eşya Taşıma
Muş Parça Eşya Taşıma
Iğdır Evden Eve Nakliyat
7E31A
ReplyDeleteMaraş Evden Eve Nakliyat
Binance Referans Kodu
Hakkari Şehir İçi Nakliyat
Mersin Parça Eşya Taşıma
Ordu Şehirler Arası Nakliyat
Etimesgut Parke Ustası
Batman Evden Eve Nakliyat
Sakarya Şehirler Arası Nakliyat
Çerkezköy Boya Ustası
6FDD7
ReplyDeleteTrabzon Evden Eve Nakliyat
Bilecik Lojistik
Eskişehir Evden Eve Nakliyat
Manisa Parça Eşya Taşıma
Kucoin Güvenilir mi
Konya Şehir İçi Nakliyat
Bursa Parça Eşya Taşıma
Isparta Parça Eşya Taşıma
Bibox Güvenilir mi
B7519
ReplyDeleteMuğla Şehir İçi Nakliyat
Ağrı Parça Eşya Taşıma
Mamak Fayans Ustası
Trabzon Parça Eşya Taşıma
Diyarbakır Şehirler Arası Nakliyat
Niğde Evden Eve Nakliyat
Osmaniye Şehir İçi Nakliyat
Malatya Evden Eve Nakliyat
Yalova Şehirler Arası Nakliyat
2D431
ReplyDeletebinance %20
61E7C
ReplyDeleteburdur ücretsiz görüntülü sohbet uygulamaları
görüntülü sohbet
adana mobil sohbet bedava
giresun canlı görüntülü sohbet siteleri
görüntülü sohbet kadınlarla
bingöl parasız görüntülü sohbet uygulamaları
malatya bedava sohbet odaları
ankara canlı sohbet uygulamaları
samsun telefonda sohbet
ECA99
ReplyDeletesohbet odaları
sinop görüntülü sohbet uygulama
antep rastgele sohbet siteleri
yalova bedava görüntülü sohbet sitesi
erzurum parasız görüntülü sohbet
kızlarla rastgele sohbet
çorum bedava sohbet chat odaları
antalya canlı görüntülü sohbet odaları
mardin görüntülü sohbet sitesi
افضل شركة تسليك مجاري بالاحساء LG93WlEJf7
ReplyDelete