ANGOLA
Imekumbwa na Shambulio la kimtandao kutoka katika kundi la wahalifu mtandao
wajulikanao kama “Anonymous” ambapo
tovuti 20 za serikali ya Nchi hiyo zimefanikiwa kuangushwa na kundi hilo la
kihalifu mtandao.
Tukio
hilo lilitokea kufuatia shinikizo la kuachiwa huru watu 17walioshikiliwa nan
chi hiyo kutokana na kosa la wakipingana
na uongozi wa raisi wa Nchi hiyo Mh. Jose Eduardo dos Santos.
Tukio
hilo la kushambuliwa kwa tovuti za Nchi ya Angola limepokelewa kwa Maskitiko
makubwa sana na wana usalama mtandao wa Nchi za Afrika na imeonekana changamoto
iliyojitokeza iwe ni funzo kua mataifa ya afrika bado yanahitaji jitihada za
dhati kuhimili vishindo vya wahalifu mtandao.
------------------------
NEWS
UPDATES: A Portuguese branch of the Anonymous hacking group says it has shut
down about 20 Angolan government websites in retaliation for the jailing of 17
youth activists for plotting a rebellion against President Jose Eduardo dos
Santos' government.
-------------------------
GHANA
ilipata kuathirika na tukio la kuangushwa tovuti zake mwaka jana kitu ambacho
kilipelekea Nchi hiyo kupitia Makamu wake wa Raisi kujipanga zaidi kuhimili
vishindo vya kihalifu mtandao.Taarifa zaidi kuhusiana na tukio la Ghana inasomeka
kwa ku “BOFYA HAPA”