WELCOME !

THANK YOU FOR VISITING THIS SITE. I HAVE BEEN USING BOTH SWAHILI AND ENGLISH LANGUAGE TO EXPRESS ISSUES - I HAVE ATTACHED ENGLISH VERSION TO SOME OF THE SWAHILI NEWS/STORY AT THE END.

Saturday, 4 January 2014

USALAMA WA KIMTANDAO

Ufafanuzi wa mikutano/Vikao kadhaa ambavyo vimejiri katika mataifa mbali mbali barani Afrika ulipata kuonekana kupitia magazeti kadhaa Nchini Tanzania ikiwemo gazeti la Annur. Kumekua na mazungumzo yanayopelekea jitihada mbali mbali katika sekta ya usalama mtandao yenye mlengo wa kuhakiki tunapata bara salama kimtandao ambapo Binafsi (YUSUPH KILEO) Nimekua si tu nahudhuria na kutoa mada mbali mbali, bali pia kuhakiki naongeza mchango wangu kufikiwa malengo ya kile tunacho kijadili.Zaidi unaweza pitia taarifa hii katika Gazeti hapo chini.