Teknolojia bado inaendelea kukua kila siku, Mambo mengi yame endelea kugundulika kupitia teknolojia hii leo. Pia Teknolojia imeendelea kusaidia urahisishaji wa mambo mengi sana ambayo awali yalikua ni magumu au kuchukua muda mrefu kukamilika.
Kama ilivyo katika maswala mbalimbali, Teknolojia nayo ina changamoto zake. Kwenye ukurasa huu kumekua kukijadiliwa changamoto mbali mbali kila kukicha za kiusalama mtandao. Baadhi ya vitu vitakavyo onekana katika video hapo chini ni pamoja na mambo mbali mbali katika ukuaji wa teknolojia na changamoto zake.
Mfano wa mambo utakayoweza kuyaona katika video hapo chini ni pamoja na:-
1. Huduma mpya ya Facebook inayowezesha kujulisha mtu alipo na maswala ya usalama.
2. Wizi wa Mamilioni ya Madola ya sarafu za digitali za Bitcoins kupitia mtandao.
3. Tatizo la kiusalama katika kampuni ya Apple.
4. Teknolojia nyingine mbali mbali.
No comments:
Post a Comment