WELCOME !

THANK YOU FOR VISITING THIS SITE. I HAVE BEEN USING BOTH SWAHILI AND ENGLISH LANGUAGE TO EXPRESS ISSUES - I HAVE ATTACHED ENGLISH VERSION TO SOME OF THE SWAHILI NEWS/STORY AT THE END.

Friday 2 May 2014

UHALIFU MTANDAO NI TISHIO - NINI KIFANYIKE?

Uhalifu mtandaoo bado ni tatizo si tu katika nchi ya Tanzania bali Afrika na hata Duniani kwa ujumla. Hali imekua ni mbaya na bado jitihada za dhati zinaendelea kimataifa ili kukabiliana na uhalifu mtandao. 

Kwa upande wa Tanzania midahalo imekua ikiendelea ikiwa ni katika kukuza uwelewa kwa watanzania juu ya maswala ya uhalifu mtandao. mchango wa vyombo vya habari katika kuelimisha jamii umeendelea kukua hivi sasa. Hili nilipata kulifafanua kupitia Mada niliyoiandikia kwa jina la unao someka hapa "MJADALA"

Ungana na mjadala ambao ni muendelezo wa mijadala mbali mbali kuhusiana na uhalifu mtandao, baada ya changamoto kuonekana kushika kasi swali linakuja nini kifanyike nchini Tanzania?



Fatilia mjadala huu.


No comments:

Post a Comment